Community Currency User Guide

Download the user guide here

Sarafu ya Jamii USER GUIDE - KENYA

What is the “Community Currency User Guide” for?

This document has been created to overcome the most common challenges you can face and to answer the common questions you can ask as a member of a Community Group using a Community Currency. If you can’t find in this document the answer to the challenge you are facing or the question you are asking yourself about Community Currency, please contact your chama and share your issue with the committee or board members.

What are the questions answered in this document?

1. What is Sarafu-Credit? - Sarafu-Credit ni nini?

2. How to people get Sarafu-Credit? - Watu wanapata Sarafu-Credit vipi?

3. What is a Sarafu-Shop? - Sarafu-Shop ni nini?

4. What is an Sarafu-Alpha Subscriber? - Sarafu-Alpha Subsciber ni nini?

5. What benefits can I expect from Sarafu-Credit? - Ni manufaa gani naweza kutarajia kutoka kwa Sarafu-Credit?

6. What is the directory and what are its benefits? - Orodha ya Majina ni nini na ina manufaa gani?

7. Who are my guarantors (backers)? - Wadhamini wangu ni kina nani?

8. How much Sarafu-Credit should I keep? - Ninapaswa kuwa na Sarafu-Credit?

9. Why is it important to keep Sarafu-Credit moving? - Kuna umuhimu gani wa kuhakikisha Sarafu-Credit inasambaa?

10. How do I repay my Sarafu-Credit loan? - Nawezaje kulipa mkopo wangu wa Sarafu-Credit?

11. Can I give Sarafu-Credit as change to customers? - Ninaweza kupeana Sarafu-Credit kama chenji ka wateja wangu?

12. What should I do if I have too much Sarafu-Credit? - Ninapaswa kufanya nini kama nina Sarafu-Credit nyingi?

13. What should I do if I have too little Sarafu-Credit to pay back my loan? - Ninapaswa kufanya nini kama nina Sarafu-Credit ambayo haitoshi kulipa mkopo?

14. What should I do if other members are not accepting Sarafu-Credit? - Ninapaswa kufanya nini kama wanachama wengine hawakubali Sarafu-Credit?

15. How should I price my goods and services in Sarafu-Credit? - Nitawekaje bei ya huduma na bidhaa kwa kutumia Sarafu-Credit?

16. How do I get a loan in Kenyan Shillings? - Nitapataje mkopo na shilingi ya Kenya

17. If my supplier isn’t a member, how can I buy my supplies and stock with Sarafu-Credit? - Kama ninayenunua mali kwake si mwanachama, nitawezaje kununua mali yangu na bidhaa kwa kutumia Sarafu-Credit?

 

1. What is Sarafu-Credit? - Sarafu-Credit ni nini?

Sarafu-Credit is a voucher for goods and services of Sarafu-Shops and participating organizations, schools, shops, farms, and clinics.

Sarafu-Credit ni Vocha inayobadilishwa kwa bidhaa au Huduma ndani ya Maduka ya Sarafu-Credit au kati ya vikundi husika, mashule, maduka, mashamba au zahanati.

Sarafu-Credit acts as a local means of exchange that does not replace but rather supplements (tops-up) the Kenyan Shilling. Through increasing trade by matching unmet local needs with under-utilized local resources Sarafu-Credit enables sustainable economic, environmental and social development programs. Sarafu-Credits are distinct from the wider field of financial innovations because they are issued with the involvement and backing of the people and organizations that will ultimately use them. Sarafu-Credit is a voucher worth the same amount in Kenyan Shillings of goods and services.

Sarafu-Credit ni njia ya ubadilishanaji ya jamii ambayo haichukui nafasi ya pesa, ila kuongezea tu Shilingi ya Kenya. Kwa kuongeza ubadilishanaji na kukidhi mahitaji ambayo hayajaafikiwa Sarafu-Credit huwezesha uchumi, miradi ya kijamii na kimazingira iliyo endelevu. Sarafu-Credit ni tofauti na nyanja zingine za kifedha kwa sababu imetolewa kwa kuwahusisha na kuungwa mkono na watu, na vikundi ambavyo vitatumia Sarafu-Credit. Sarafu-Credit ni vocha ambayo thamani yake ni sawa na kiasi sawa cha Shilingi ya Kenya kulingana na huduma na bidhaa.

2. How to people get Sarafu-Credit? - Watu wanapata Sarafu-Credit vipi?

People receive Sarafu-Credit:

 1. For community service work,

Kwa kufanya kazi za kujitolea katika jamii,

 1. As payment or change for goods and services,

Kama malipo ya au bakshishi kutokana na bidhaa au Huduma

 1. By purchasing it,

Kwa kununua Sarafu- Credit

 1. As a zero-intrest loan.

              Kama mkopo usio na riba

 

 1. Community Service work - Participating non-profits, NGOs and other organizations may wish to support their activities by rewarding volunteer efforts with Sarafu-Credit. Organizations may support needy children with school fees, or encourage youth to plant trees and protect the environment. Sarafu-Credit given in this way can be used at participating shop, schools and so on. Generally, member businesses will accept Sarafu-Credit for a portion of their prices or fees.

Kazi ya kijamii ya ziada- Mashirika husika yasiyo ya kijamii au mashirika yoyote mengine yanayotaka kutoa msaada kwa miradi katika jamii yanaweza kulipa kazi za kujitolea kwa kutumia Sarafu-Credit. Mashirika haya yanaweza kutoa misaada kwa watoto wasiojiweza kwa kuwalipia karo za shule, kuwahimiza vijana kupanda miti na kulinda mazingira. Sarafu-Credit inayotumika hivi inaweza kutumika katita maduka na kadhalika. Inavyopendekezwa wanabiashara wataweza kukubali Sarafu-Credit kama asilimia ya bei zao au ada.

 1. As payment or change for goods and services - Anyone may use Sarafu-Credit to pay for goods or services or offer Sarafu-Credit as change. This is considered a barter credit and should rotate around the community to increase trade.

Kama malipo au bakishishi ya bidhaa au huduma – Mtu yeyote anaweza kutumia Sarafu-Credit kulipia Huduma au Bidhaa au kuitoa kama bakshshi. Hii inachukuliwa kama ubadidlishanaji na inapaswa kuzunguka katika jamii ili kuongeza biashara.

 1. By purchasing it - Sarafu-Credit may be purchased from members or Grassroots Economics (as a voucher for their goods and services) – market rates will apply.

Kwa kuinunua – Sarafu-Credit inaweza kununuliwa kutoka kwa wanachama au kutoka kwa Shirika la Grassroots Economics (kama vocha kubadilishwa na bidhaa au Huduma)

 1. As a zero-interest loan - Sarafu-Credit may be loaned to members of local organizations after they are deemed credit-worthy by running a local business and being guaranteed by other members. The loan should be repaid within a month and can be used to trade goods and services among members. A Sarafu-Credit loan can be repaid using Sarafu-Credit by accepting Sarafu-Credit for goods and services. Members that have not been able to repay their Sarafu-Credit are in debt to their local organization.

Sarafu-Credit ni Vocha inayokopeshwa kwa wanachama wa Vikundi vya Kijamii baada ya kuchunguzwa na kuonekana kuwa wanaweza kupokea mikopo kwa kufanya biashara mashinani na kudhaminiwa na wanachama wengine. Inaweza kutumika kwa muda fulani (mara nyingi mwezi mmoja kwa wanachama wapya) kubadilishana bidhaa na huduma kati ya wanachama. Mkopo wa Sarafu-Credit unaweza kulipwa kwa kukubali Sarafu-Credit kwa bidhaa na huduma yako. Baada ya muda kuisha wanachama ambao hawajaweza kulipa au kupata Sarafu-Credit zao wako na deni la chama.

3. What is a Sarafu-Shop? - Sarafu-Shop ni nini?

 • A Sarafu-Shop are those shops run by Grassroots Economics in collaboration with community groups that provide the backing for Sarafu-Credit. The inventory and profits from these shops determine how many Sarafu-Credit vouchers can be issued to a community.
 • Sarafu-Credit can be used for any purchase from a Sarafu-Shop and can also be exchanged for Kenyan Shillings for a fee.

 

 • Sarafu-Shop ni duka linaloendelezwa na GE kwa Ushirikiano na vikundi vya kijamii ambavyo vinaipa thibitisho Sarafu-Credit. Mali na faida kutoka maduka haya husaidia kuamua idadi ya vocha katika jamii.
 • Sarafu-Credit inaweza kutumika kwa asilimia Fulani ya bei ya bidhaa unayonunua kutoka kwa maduka haya na inaweza kubadilishwa kwa Sarafu ya Kenya kwa ada Fulani.

4. What is an Sarafu-Alpha Subscriber? - Sarafu-Alpha Subsciber ni nini?

 • Sarafu-Alpha Subscribers pay a monthly fee to receive discounts from Sarafu-Shops and can use their Sarafu-Credit to pay for wholesale purchases and their fees at any time.
 • Sarafu-Alpha Subscribers receive more clients and great discounts
 • If you are interested in becoming an Sarafu-Alpha Subscriber, please contact your local Grassroots Economics representative

 

 • Mteja wa Sarafu-Alpha hulipa ada ya kila mwezi ili aweze kupata bidhaa kwa bei rahisi Zaidi kutoka maduka ya Sarafu na vilevile anaweza kutumia Sarafu-Credit kununua bidhaa kwa wingi na kulipa ada zozote zile
 • Mteja Alpa wa Sarafu hupata wateja Zaidi na bidhaa kwa bei rahisi Zaidi
 • Ikiwa ungependa kuwa Mteja Alpha wa Sarafu wasiliana na mwakilishi wa Grassroots Economics aliye karibu nawe.

 5. What benefits can I expect from Sarafu-Credit? - Ni manufaa gani naweza kutarajia kutoka kwa Sarafu-Credit?

 • Sarafu-Credit is a credit given to people who support community, social or environmental efforts and is also a zero-interest loan available to people who don't have access to credit. Members are issued a Sarafu-Credit loan, if they pass all necessary criteria.
 • It will enable you to meet your daily needs during the hard times of the month (food, rent, transport, school fees).
 • It will enable you to increase your daily sales and customers; and to save more Kenyan Shillings.
 • It will create a strong community network and market (allowing people to meet, share ideas, trade goods and services and to launch group programs and initiatives).
 • If you are not a member, ask a network member to help you with an application form (you must be selling or working and buying in the local area of the network). You can also take part in community events to receive Sarafu-Credit and you can also ask for change in Sarafu-Credit.
 • Any Sarafu-Credit you have after repaying your loan can be use to purchase from the Sarafu-Shop or be exchanged for Kenyan Shillings with a fee.
 • Members are invited to Open-Air Markets where they can trade with each other.

 

 • Sarafu-Credit ni Mkopo usio na riba na itapatikana na watu wasio weza kupata mikopo ya Shilingi ya Kenya. Wanachama hupewa mkopo wa Sarafu-Credit, wapitapo vigezo vyote vilivyowekwa
 • Itakuwezesha kukidhi mahitaji yako ya kila siku na wakati mgumu wa mwezi (chakula, kodi, nauli, karo ya shule)
 • Itakuwezesha kuongeza mauzo yakila siku na kuongeza wateja; na kuhifadhi pesa (shiingi za Kenya)
 • Itajenga Mtandao ulio na nguvu wa kijamii na wa soko (unaowawezesha watu kukutana, kubadilishana mawazo, kubadilishana bidhaa na huduma na kuzindua mipango ya vikundi vyao.
 • Kama wewe si mwanachama uliza mwanachama wa kikundi hiki akusaidie na fomu ya usajili (ni sharti uwe unauza ama unafanya kazi na kununua katika mtandao uliokusudiwa) Unaweza vilevile kujihusisha na mipango/matukio/warsha za kijamii ili upokee Sarafu-Credit au unaweza kuitisha chenji katika Sarafu-Credit.
 • Baada ya muda fulani (mara nyingi mwezi mmoja) Sarafu-Credit yoyote iliyobaki baada ya kurudisha mkopo, itadaiwa kama deni kutoka kwa chama na inaweza kununuliwa na Shilingi ya Kenya.
 • Wanachama wanakeribishwa kwa markiti ambapo wanaweza kubadlishana.

6. What is the directory and what are its benefits? - Orodha ya Majina ni nini na ina manufaa gani?

The Directory is the list of all active members using and accepting Sarafu-Credit. It helps people know where to spend Sarafu-Credit and for members to know each other. The Directory helps you determine where you should be spending it; If you have too little Sarafu-Credit - you should contact the people in the Directory to come and buy from your shop.

Orodha ya majina ya wanachama ni tangazo la wanachama wote ambao wanakubali Sarafu-Credit. Husaidia wanachama kujuana na iwapo una Sarafu-Credit nyingi itakusaidia kutambua ambapo unaweza kuzitumia; na iwapo una Sarafu-Credit kidogo na una wasi wasi ya jinsi utalipa deni lako – unaweza kuwasiliana na watu katika Orodha huo ili waje wanunue kutoka duka lako.

7. Who are my guarantors (backers)? - Wadhamini wangu ni kina nani?

 • These are the people and organization who endorsed you to join the network. Your Guarantors is an organization, CBO or self-help group that endorses you to receive a loan of Sarafu-Credit.
 • You are also committed to selling your goods or services to your guarantors using Sarafu-Credit on a regular basis.
 • These people are committed to selling goods or services to you with Sarafu-Credit on a regular basis.
 • These should be the people you should trade with the most.
 • If you do not repay your Sarafu-Credit loan, you and your guarantors can be expelled from the network, forfeit any Kenyan Shillings savings and loans.
 • Please see our membership form.

 

 • Ni wale watu wanne waliokuidhinisha (waliokusimamia) ujiunge na kikundi
 • Wewe unajitolea kuuza bidhaa na huduma yako kwa wadhamini kutumia Sarafu-Credit mara kwa mara.
 • Hawa watu wanne wamejitolea kuuza bidhaa na huduma kwa wewe wakitumia Sarafu-Credit Mara kwa Mara.
 • Ni watu ambao unapaswakufanya biashara nyingi zaidi nao.
 • Ikiwa huwezi kulipa mkopo wa Sarafu-Credit, wewe na wadhamini wako, mnaweza kutolewa kutoka kwa kikundi hata kutoka kwa shughuli za mikopo na akiba.

8. How much Sarafu-Credit should I keep? - Ninapaswa kuwa na Sarafu-Credit?

 • If you are not a member business you should spend it as soon as possible
 • As a member you should keep as much Sarafu-Credit as you were loaned.
 • In one term (generally one month), your balance may go up and down but on average you should have as much Sarafu-Credit as you started with by the end of the term.
 • By accepting more than Sarafu-Credit than your loan amount, you are giving a loan to other members
 • When you spend your Sarafu-Credit, you are receiving goods and services from members on credit. If you can't repay your loan at the end of the term you will owe the organization an equivalent value in Kenyan Shillings plus other fees.

 

 • Unapaswa kuweka idadi uliopewa kama mkopo wa Sarafu-Credit. 
 • Baada ya mda ulioratibiwa (mara nyingi mwezi mmoja) , baki yako inaweza kupanda ama kushuka, lakini kwa kawaida unapaswa kuwa na Sarafu-Credit kiasi uliopewa kwa mkopo.
 • Kwa kukubali Sarafu-Credit zaidi, unawapa mkopo wanachama wengine.
 • Unapotumia Sarafu-Credit, unapokea bidhaa na huduma kutoka kwa wanachama bila malipo. Ikiwa huwezi kulipa mkopo madaa ya muda fulani utadaiwa pesa za Kenya sawa na huduma au bidhaa ulizopokea pamoja na ada zingine.

9. Why is it important to keep Sarafu-Credit moving? - Kuna umuhimu gani wa kuhakikisha Sarafu-Credit inasambaa?

The faster Sarafu-Credit moves between members, the better the economy is. If it stops moving, it stops helping people trade.

Jinsi Sarafu-Credit inavyosambaa kwa haraka zaidi kati ya wanachama, ndivyo Uchumi unaimarika zaidi. Sarafu-Credit ikiacha kusambaa, inawacha kusaidia watu katika biashara.

10. How do I repay my Sarafu-Credit loan? - Nawezaje kulipa mkopo wangu wa Sarafu-Credit?

 • Try to buy using Sarafu-Credit each day and try to sell your goods with Sarafu-Credit each day. Balance your purchases and sales.
 • Use Sarafu-Credit to give change and accept Sarafu-Credit as change when you buy from members
 • Use Kenyan shillings to top up the amount missing from your loan.

 

 • Jaribu kununua bidhaa au huduma kupitia Sarafu-Credit kila siku na jaribu kuuza bidhaa zako au huduma kwa kutumia Sarafu-Credit kila siku.
 • Tumia Sarafu-Credit kama chenji na kubali kupewa Sarafu-Credit kama Chenji kutoka kwa wanachama.
 • Tumia Shilingi ya Kenya kuongezea thamani unayokosa kwa mkopo wako.

11. Can I give Sarafu-Credit as change to customers? - Ninaweza kupeana Sarafu-Credit kama chenji ka wateja wangu?

 • Yes. As long as they understand how to use it; by bringing back to your shop or the shops of other members.
 • Show the customer the directory and explain how and where to use the Sarafu-Credit.

 

 • Ndio. Bora wanaelewa jinsi ya kuitumia; na wanairudisha kwenye duka lako au kwenye maduka ya wanachama wengine.
 • Muonyeshe mteja Orodha ya Majina na umueleze mahali anapoweza kutumia Sarafu-Credit

12. What should I do if I have too much Sarafu-Credit? - Ninapaswa kufanya nini kama nina Sarafu-Credit nyingi?

If you receive more Sarafu-Credit than you are able to spend, you might end up with too much. You can easily solve this problem by:

 • The network members owe you their services and goods. Use the directory to find new businesses to buy from using Sarafu-Credit.
 • If you can’t buy regularly from members, give Sarafu-Credit as change to your customers.
 • If none of these solutions are working, contact your four backers and the committee to explain the situation.
 • Remember that at the end of the term you should receive Kenyan Shillings for any Sarafu-Credit you have in excess after repaying your loan.

 

Ukipokea Sarafu-Credit zaidi ya zile unaweza kutumia, utabaki kuwa na Sarafu-Credit nyingi zaidi. Unaweza kutatua tatizo hili kwa:

 • Wanachama wana deni lako la bidhaa au huduma. Kutumia Orodha ya Majina kutafuta biashara zingine mpya ili uweze kununua kutoka kwao na Sarafu-Credit.
 • Kama huwezi kununua mara kwa mara kutoka kwa wanachama unaweza kupeana Sarafu-Credit kama chenji.
 • Kama bado hujapata Suluhisho wasiliana na wadhamini wako na uwaeleze hali ilivyo.
 • Kumbuka kuwa baada ya muda ulio ratibiwa utapokea Ksh kwa kila Sarafu-Credit baada ya kulipa mkopo wako.

13. What should I do if I have too little Sarafu-Credit to pay back my loan? - Ninapaswa kufanya nini kama nina Sarafu-Credit ambayo haitoshi kulipa mkopo?

 • You are in debt! By spending your Sarafu-Credit you have received a loan of goods and/or services from other members. In order to repay this debt, you must accept Sarafu-Credit for your goods and services. You can easily solve the problem:
 • You need more customers with Sarafu-Credit. Advertise yourself to more members by contacting them through the directory.
 • If no one is buying your goods and services using Sarafu-Credit:

            a) Contact your four backers or guarantors

            b) Notify the committee and ensure that you’re in the directory

            c) Buy goods and services from members and accept change in

               Sarafu-Credit

Note that at the end of the term (usually one month) you will be required to pay back in Kenyan Shillings whatever you are missing. i.e. If your loan was 400 Sarafu-Credit and you have a balance of Sarafu-Credit is 350 at the end of the term, you will pay the chama 50 Kenyan Shillings including fees. The opposite is also true, if you have 450 Sarafu-Credit you will have a claim against 50 ksh worth of debt from members.

 

 • Uko katika deni! Kwa kutumia Sarafu-Credit yako umepokea mkopo wa bidhaa na Huduma kutoka kwa wanachama wengine. Ili kulilipa deni hili, itakubidi kukubali Sarafu-Credit kwa huduma au bidhaa zako. Unaweza kutatua shida hii kwa:
 • Unahitaji wateja zaidi walio na Sarafu-Credit. Itabidi kujitangaza kwa wateja kwa kutumia Orodha ya Majina.
 • Kama hakuna anayenunua bidhaa au huduma kutoka kwako kwa kutumia Sarafu-Credit:

            a) Wasiliana na Wadhamini wako wanne

            b) Wajulishe wanakamati kuhakikisha uko kwenye Orodha ya Majina

            c) Nunua bidhaa na Huduma kutoka kwa wanachama na Ukubali chenji ya Sarafu-Credit

Unapaswa kutambua kuwa baada ya muda ulio ratibiwa (mara nyingi mwezi mmoja) utahitajika kulipa deni la Ksh kwa matumizi yako, kwa mfano kama umetumia Sarafu-Credit 350 baada ya muda ulio ratibiwa utahitajika kulipa Ksh 50 pamoja na ada . Kinyume chake pia hufuatiliwa, kama una Sarafu-Credit 450 utadai Ksh 50 kama thamani ya deni kutoka kwa wanachama.

14. What should I do if other members are not accepting Sarafu-Credit? - Ninapaswa kufanya nini kama wanachama wengine hawakubali Sarafu-Credit?

 • Make sure the member understands the program; they might not understand how to price their items using Sarafu-Credit
 • Give the person a chance to explain why they are not accepting it and come back another day
 • If the member has too much Sarafu-Credit already, help them find a way to use it (make sure they have a directory)
 • If all else fails, contact their guarantors (backers) and committee (they may need to be expelled from the network).

 

 • Hakikisha mwanachama anauelewa mradi, kunauwezekano haelewi jinsi ya kuweka bei kutumia Sarafu-Credit
 • Mpe mtu huyo muda wa kujieleza kwanini hakubali Sarafu-Credit alafu urudi siku nyingine.
 • Kama mwanachama huyo ana Sarafu-Credit nyingi kupita kiasi, msaidie kupata njia za kuzitumia (hakikisha yuko na Orodha ya majina)
 • Yote yakishinda wasiliana na wadhamini wake au wanakamati (kuna uwezekano anahitajika kutolewa kutoka mradi)

15. How should I price my goods and services in Sarafu-Credit? - Nitawekaje bei ya huduma na bidhaa kwa kutumia Sarafu-Credit?

 • It is up to you to make sure that you can use all the Sarafu-Credit you receive.
 • For retail shops, as a general guide, you can look at your profits on an item and charge half of that profit in Sarafu-Credit. For example, if you sell Unga for Ksh.100 and you’re making Ksh.20 profit, half of the profit is Ksh.10; this is how much you would charge in Sarafu-Credit. The final price for the Unga would be Ksh.90 and 10 Sarafu-Credit.
 • In general, for every Ksh.100 you could accept 10 Sarafu-Credit.
 • For every Ksh.50 you could accept 5 Sarafu-Credit
 • For service shops, like barbers, you can charge as much as 50% of an item price in Sarafu-Credit.

 

 • Ni jukumu lako kuhakikisha una uwezo wa kutumia Sarafu-Credit zote unazopokea.
 • Kwa maduka madogo, unaweza kuaangalia faida ya bidhaa au huduma na uweke nusu yake katika Sarafu-Credit. Kwa mfano kama wewe huuza unga shilingi 100 na unatengeza faida ya sh 20, nusu ya faida hiyo ni sh 10. Basi unaweza kufanya hivi katika kuamua bei ya Unga Ksh 90 na Sarafu-Credit 10.
 • Kwa kawaida kila sh 100 inaweza kukubali Sarafu-Credit 10.
 • Kwa kila Ksh 50, unaweza kubali Sarafu-Credit 5
 • Kwa maduka ya huduma unaweza kuweka hata asilimia 50 ya bei katika Sarafu-Credit.

16. How do I get a loan in Kenyan Shillings? - Nitapataje mkopo na shilingi ya Kenya

 • Sarafu-Credit is a loan of goods and services which you pay back with your own goods and services when you accept Sarafu-Credit.
 • To get a Kenyan Shilling loan, you must save Kenyan Shillings in the group/chama account and apply for a loan from the group itself or a bank
 • By using Sarafu-Credit more, your business should have more customers and more stability and hence be more deserving of a loan.

 

 • Sarafu-Credit ni Mkopo ulio katika njia ya huduma na bidhaa ambao unalipa kwa kutumia bidhaa na huduma zako ukitumia Sarafu-Credit.
 • Kupata Mkopo katika shilingi ya Kenya unahitajika kuweka akiba katika chama chako au akaunti na baadaye uombe mkopo kutoka kwa kikundi chako au kutoka kwa benki.
 • Kwa kutumia Sarafu-Credit, biashara yako inakuwa na wateja zaidi na imara zaidi kwa hivyo inakuwa rahisi kupata mkopo.

17. If my supplier isn’t a member, how can I buy my supplies and stock with Sarafu-Credit? - Kama ninayenunua mali kwake si mwanachama, nitawezaje kununua mali yangu na bidhaa kwa kutumia Sarafu-Credit?

 • If your supplier isn’t a member explain to them the benefits of the program and give them an application form and a directory.
 • If your supplier refuses to become a member, you will make sure to accept as much Kenya Shillings as you need in addition to Sarafu-Credit to buy your stock.

 

 • Kama muuzaji wako si mwanachama mueleze manufaa ya mradi huu na umupatie fomu ya Usajili pamoja na Orodha ya Majina.
 • Kama Muuzaji wako hana nia yakuwa mwanachama utahitajika kukubali Ksh kiasi unachohitaji kununua mali yako

Summary of Sarafu-Credit

 1. Sarafu-Shops donate and loan vouchers (called Sarafu-Credit) to help the community.
 2. People can receive Sarafu-Credit for community services (like tree planting), loans, and as a payment or as change.
 3. Sarafu-Credit can be used to buy goods or services from members – these can be schools, clinics, shops, farmers and so on.
 4. These vouchers can be used for any purchase from a Sarafu-Shop.
 5. There is no cost to be a general member and receive a zero-interest Sarafu-Credit loan.
 6. Sarafu-Alpha Subscribers pay a fee for discounts at Sarafu-Shops.
 7. General Members who have loans in Sarafu-Credit must pay back their loans monthly using Kenyan Shillings of Sarafu-Credit.